Nehemiah 1:1
Maombi Ya Nehemia
1 aManeno ya Nehemia mwana wa Hakalia: Katika mwezi wa Kisleu ▼▼ Kisleu ni mwezi wa tisa katika kalenda ya Kiyahudi; katika kalenda yetu ni Novemba/Desemba (ona pia Zekaria 7:1).
katika mwaka wa ishirini, wakati nilikuwa ngomeni katika jumba la kifalme la Shushani,
Copyright information for
SwhKC